Refrain:
Kwake Yesu nasimama,
ndiye mwamba ni salama.
ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama.
Cha kutumaini sina,
ila damu yake Yesu
sina wema wa kutosha,
Dhambi zangu kuziozha.
[Refrain]
Njia yangu iwe ndefu,
yeye hunipa wokovu
mawimbi yakinipiga,
Nguvu ndizo nanga
[Refrain]
Nikitwa hukumuni,
rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake,
Sina hofu mbele zake.
[Refrain]
Refrain:
Here on Christ the rock I will stand,
other ground is sinking sand.
Yes, on Christ the rock I will stand,
other ground is sinking sand.
// Traducción al inglés: Here on Christ the Rock I Will Stand
Jesus knows the troubles I face;
in his blood flow mercy and grace.
What he gives, I cannot repay,
all my sin he washes away.
Jesus gives me strength when I’m weak;
he’s the satisfaction I seek.
He’s my shield when troubles draw near.
He’s my comfort through ev’ry fear.
When the judgment comes I will be
in Christ’s presence, fearless and free,
where the courts are ringing with praise,
crowned with righteousness all my days.
Agrega una reseña